HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda apiga marufuku kwa baadhi ya kampuni za ujenzi katika mkoa wake kwa tuhuma za kujenga barabara chini ya viwango; https://youtu.be/UmjMkS7GagQ   

SIMU.TV: Mgogoro wa ardhi katika kata ya Qash umezidi kuibua kashfa mbalimbali kwa wamiliki wa ardhi hiyo ambao wanatuhumiwa kwa kusafirisha wanyama kwenda nchi za nje; https://youtu.be/C82ju0Ho7lE
SIMU.TV: Spika msaatfu wa bunge la Tanzania Anna Makinda amewataka wanawake walioko katika nafasi za uongozi nchini kujiamini ili kuweza kuzifanya kazi zao kwa ufanisi zaidi; https://youtu.be/yzA1qTVPqQg
SIMU.TV: Baadhi ya abiria wanaotumia kivuko katika kisiwa cha Ukerewe wameiomba serikali kuwapatia kivuko kikubwa kitakachokidhi idadi yao;https://youtu.be/jTR2rJSh3IY

SIMU.TV: Licha ya kuibuliwa kwa vitendo mbalimbali vya ukatili kwa watoto nchini, bado wananchi pamoja na serikali watakiwa kuungana ili kutokomeza kabisa vitendo hivyo kwa watoto; https://youtu.be/bosvIoisiFE

SIMU.TV: Vituo vya afya 23 jijini Dar es salaam vimekabidhiwa simu kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano hususani katika kitengo cha rufani ili kupunguza idadi ya vifo; https://youtu.be/eR9qL7R7dOU  

SIMU.TV: Waratibu wa madawati ya uwezeshaji wamewataka wananchi kuchangamkia fursa zilizopo katika maeneo yao ili kujikwamua kiuchumi;https://youtu.be/NksO713laIw
SIMU.TV: Shirika la kuhudumia viwanda widogo nchini SIDO limesema litaendelea kutoa elimu kwa wajasiliamali wadogo na wazalishaji wa ndani ili kukuza uzalishaji wa ndani; https://youtu.be/wxFNQhDMb64
SIMU.TV: Baadhi ya wakulima wa pamba mkoani Shinyanga wanafikiria kuachana na kulima zao hilo baada ya kushuka kwa bei ya pamba sokoni;https://youtu.be/ZhOYgDhCxdA   

SIMU.TV: Timu ya soka ya vijana ya Shelisheli tayari imewasili nchini kwa ajili ya mchezo wao na timu ya taifa ya vijana Serengeti boys siku ya jumapili;https://youtu.be/FTFfjZ5dVtk
SIMU.TV: Shirkisho la soka nchini TFF limetoa ufanunuzi juu ya malalamiko toka klabu ya Yanga kwa madai ya kutowashirikisha katika maamuzi mbalimbali katika ushiriki wao kimataifa; https://youtu.be/S7oWgHt6gTA
SIMU.TV: Tamasha la kimataifa la filamu Zanzibar ZIFF limeelezea kukamilika kwa maandalizi yake kuelekea kufanyika kwa tamasha hili visiwani humo;https://youtu.be/GEcOJbyusVo
SIMU.TV: Katika hatua nyingine shirikisho la soka nchini TFF limewashukuru wadau mbalimbali wanaosaidia katika jitihada za kuibua vipaji vya michezo;https://youtu.be/v6vAspk2EXA

SIMU.TV: Zaidi ya nyumba 20 zimeharibiwa na nyingine kuteketezwa kwa moto mkoani Kagera baada ya kuibuka kwa mgogoro kati ya wakulima na Wafugaji.https://youtu.be/rwJvoBkUXcQ
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Tanga amesema maandalizi ya ujenzi wa bomba la mafuta katika eneo la Chogoleani yamekamilika kwa zaidi ya asilimia 80.https://youtu.be/I5JZPONsFi0
SIMU.TV: Rais Dr John Pombe Magufuli amesema serikali ya awamu ya tano itaendelea kukuza ushirikiano wa kutekeleza miradi ya maendeleo baina yake na nchi ya Malaysia. https://youtu.be/NB_-OAR7qgk
SIMU.TV: Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan ameiomba serikali ya Malaysia kujenga ofisi za ubalozi wake hapa nchini ili kukuza uhusiano kati ya Tanzania na Malaysia. https://youtu.be/s4d_rb9Fj6E
SIMU.TV: Baada ya matokeo ya kura ya maoni nchini Uingereza kuamua nchi hiyo itoke kwenye umoja wa Ulaya, kiongozi wa Scotiland amesema raia wake watapiga kura ya kuamua  wajitenge na Uingereza au wabaki kutokana na raia wake wengi kupinga suala la kujitenga kwa Uingereza.https://youtu.be/QSepA6OWCT8
SIMU.TV: Mswada wa marekebisho ya sheria mabalimbali umepitishwa na bunge ambapo kesi za uhujumu uchumi zinazofikia bilioni moja zitashughulikiwa na mahakama ya mafisadi. https://youtu.be/gwPFduesDLs

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amezisimamisha baadhi ya kampuni za ujenzi kupata tenda katika jiji la Dar es Salaam kutokana na kujenga barabara chini ya kiwango. https://youtu.be/7zzGTkJzYMc

SIMU.TV: Shirika la viwango nchini TBS limeteketeza tani mbili za mchele uliokuwa umeisha muda wa matumizi ambapo mchele huo uliingizwa nchini kutoka nchini Pakistani. https://youtu.be/5AxKxcUSQNc

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel imetoa msaada  kwa jumuia ya wakulima wa Mwani visiwani Zanzibar ili kuendeleza kilimo cha Mwani.https://youtu.be/dS2Sh5Pf804

SIMU.TV: Kampuni ya kusindika bidhaa za maziwa kutoka mkoani Iringa ya ASAS inatarajiwa kufungua kituo cha kununulia maziwa katika Mkoa wa Morogoro.https://youtu.be/DM1jqc9WFok


Attachments area
Preview YouTube video Makonda Azifungia Kampuni za Ujenzi DSM Preview YouTube video Uwanja wa Ndege Kata ya Qash Wafungiwa Preview YouTube video Wanawake Watakiwa Kujiamini Katika Uongozi Preview YouTube video Ukerewe Waomba Kivuko Kikubwa Preview YouTube video Mapambano Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia Preview YouTube video Vituo vya Afya 23 Vyakabidhiwa Simu Jijini Dar Preview YouTube video Changamoto za Waratibu wa Dawati la Uwezeshaji Preview YouTube video SIDO Kuwajengea Uwezo Wajasiliamali Wadogo Preview YouTube video Wakulima wa Pamba Walia na Bei Ndogo Preview YouTube video Shelisheli Watua Kuwakabili Serengeti Boys Preview YouTube video Ushiriki wa Yanga Kimataifa Preview YouTube video Yaliyomo Katika ZIFF Mwaka Huu Preview YouTube video Maendeleo ya Soka la Vijana Preview YouTube video Mgogoro Wa Wakulima Na Wafugaji Waibuka Tena Kagera Preview YouTube video Maandalizi Ya Ujenzi Wa Bomba La Mafuta Yakamilika Tanga Preview YouTube video Serikali Kukuza Ushirikiano Na Malaysia Preview YouTube video Makamu Wa Rais Aiomba Malaysia Kujenga Ofisi Za Ubalozi Tanzania Preview YouTube video Uingereza Yajitenga Na Umoja Wa Ulaya Preview YouTube video Kesi Za Bilioni Moja Kushughulikiwa Na Mahakama Ya Ufisadi Preview YouTube video Makonda Azuia Baadhi Ya Kampuni Za Ujenzi Kupewa Tenda Preview YouTube video TBS Yateketeza Shehena Ya Mchele Preview YouTube video Zantel Yawasaidia Wakulima Zanzibar Preview YouTube video ASAS Kufungua Kituo Cha Kununulia Maziwa Morogoro
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

KWA HERI KAMANDA WETU ABBAS KANDORO

YANGA SC WAANZA KAZI AFRIKA LEO…WANAKIPIGA NA U.S.M. ALGER SAA 4:00 USIKU ALGERIA

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA