HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Naseeb Abdul (Diamond) amekabidhi msaada wa madawati 600 kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. https://youtu.be/nlBVpeom5nI

SIMU.TV: Mtandao wa wasanii Tanzania SHIWATA wamekabidhi jumla ya hekari 5 kwa mchezaji wa kimataifa Tanzania Mbwana Samatta. https://youtu.be/wD2GLjpWz_g

SIMU.TV: Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yatoa onyo kwa wafanyabiashara watakao pandisha bei za bidhaa muhimu katika kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani.  https://youtu.be/Em9O8ldXyTo

SIMU.TV: Wazazi na wadau wa michezo nchini wameombwa kuwaruhusu watoto wa kike kushiriki katika michezo hususani mpira wa miguu. https://youtu.be/_CO9VyiHUhY

SIMU.TV: Klabu ya Soka ya Yanga imefikisha barua ya tuhuma za rushwa katika sakata la uchaguzi wa klabu hiyo kwa ajili ya uchunguzi Zaidi. https://youtu.be/FMahv5mvWJI

SIMU.TV: Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yasema haitakuwa tayari kulipa fidia kwa hasara ya  mali  za wananchi watakao kahidi agizo la kuhama eneo la jengo la Treni lililopo darajani mjini Zanzibar.  https://youtu.be/LIMgKEMddRw


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA