KOCHA MWINGINE WA NIGERIA AFARIKI DUNIA


shaibu
 Shaibu Amodu
Siku chache baada ya kifo cha aliyewahi kuwa kocha wa timu ya Taiga ya Nigeria, Stephen Keshi, kocha mwingine wa timu hiyo maarufu kama Super Eagles, Shaibu Amodu naye amefariki dunia, leo akiwa na umri wa miaka 58.

Amodu aliyezaliwa Aprili 1958, amefariki akiwa nchini Benini, siku tatu tu baada ya lifo cha Keshi ambaye pia alifia nchini humo.
Stephen Keshi
Wakati Keshi alidaiwa kuwa na maumivu makali ya kichwa, Shaibu amefariki dunia baada ya kulalamika kuwa na maumivu makali ya kifua. Inaelezwa baada ya kudai kifua kuzidi kuuma, aliamua kwenda kupumzika na hakuamka tena. Amodu pia amewahi kuifundisha klabu kongwe ya Afrika Kusini ya Orlando Pirates

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.