4x4

MAJEMBE YA HABARI BUNGENI DODOMA

Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya  habari nchini, wanaoripoti habari katika vikao Bunge vinavyoendelea Dodoma, wakiwa katika picha ya pamoja leo katika chumba cha habari kilichopo ndani ya Bunge.Kutoka kushoto ni Michael Msombe (Millard Ayo), Iddi Uwesu (Azam Tv), Abdulmalik Jabir (ITV), Henry Mabumo (ITV), Steven  Mumbi (EATV), Jerome Risasi (Clouds TV) na Silvester Onesmo.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
Post a Comment