Marufuku wapenzi wa jinsia moja kuasili watoto DRC


Image copyrightUGANDA
Image captionMarufuku wapenzi wa jinsia moja kuasili watoto DRC
Bunge la Seneti la Jamhuri ya kidemkrasia ya Congo limepiga marufuku wapenzi wa jinsia moja kuwaasili watoto kutoka nchi hiyo.
Serikali imekuwa mstaari wa mbele ikijaribu kupeleleza hatma ya watoto waliohamishwa nje ya nchi na inasema ugumu ulioko ndiyo sababu kuu iliyosababisha ikachukua hatua hii.
Marufuku hii haswa inalenga hatua ya kuwahamisha watoto nje ya DRC kulingana na redio Okapi.wapenzi wa jinsia moja
Tangu mwaka wa wa 2013 DRC imekuwa ikipinga kuhamishwa nje ya nchi kwa watoto walioasiliwa nchini humo.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA