4x4

MATUKIO LUKUKI YA BUNGENI DODOMA

 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Walemavu), Dk. Abdallah Posi akijadiliana na Naibu waziri mwenzie wa wizara hiyo (Vijana),  Anthony Mavunde bungeni Dodoma leo
 Mbunge wa Jimbo la Kilindi, Omary Kigua akiagana na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakazi wa jimbo hilo, waliotembelea kuona mwenendo wa Bunge, DodomaWanafunzi wa Shule ya Msingi Kisasa ya mkoani Dodoma, wakigombea kusalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Seleman Jaffo kwenye viwanja vya Bunge Dodoma
Post a Comment