4x4

MIJADALA YA BUNGE

SIMU.TV: Mhe.Hawa Chakoma aihoji serikali juu ya utekelezaji wa adhma yake ya kutengeneza ajira kwa vijana;https://youtu.be/y1oT9g_VZs4

SIMU.TV: Mhe.Lema aitaka serikali kutengeneza ajira ili kuwaepusha vijana na adhabu pindi watakapokamatwa wakicheza pool table wakati wa mchana; https://youtu.be/EtoP5M6GQp8

SIMU.TV: Mbunge wa viti maalum Mhe.Sofia Simba aitaka serikali kurejesha shule ya Nbembela wilayani Rungwe iliyojengwa kwa nguvu ya wananchi; https://youtu.be/JhOm06ypCLQ

SIMU.TV: Je ni lini serikali itapanua mipaka ya hifadhi iliyopo Maswa kama ilivyoahidiwa katika kampeni na rais Magufuli? Mhe. Mahmoud Mgimwa anatoa majibu ya serikali;

SIMU.TV: Mhe.Augustino Masele aitaka serikali kuweka mazingira rafiki hususan miundombinu katika vivutio vya utalii ili kuendeleza sekta utalii; https://youtu.be/rjKmv8E4RqY

SIMU.TV: Mhe. Medard Kalemani atoa majibu ya serikali juu ya ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya REA iliyosuasua wilayani Tunduru. https://youtu.be/dW52_cs6-MA

SIMU.TV: Je ni lini askari wanaomaliza mafunzo kwa ngazi mbalimbali watalipwa  kwa wakati maslahi yao ili kuendana na vyeo vyao? Haya hapa majibu ya serikali. https://youtu.be/oRNmrOj3iZA

SIMU.TV: Mhe. Hawa Ghasia aiwakia serikali kuridhia ujenzi wa kiwanda cha mbolea katika maeneo ya Msanga Mkuu Mtwara vijijini; https://youtu.be/CgLU_o4TLhI

Post a Comment