4x4

MTINDO WA WABUNGE WA UPINZANI KUINGIA NA KUTOKA BUNGENI WAENDELEA

 Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akiingia bungeni huku wabunge wa upinzani wakitii kwa kusimama na baadaye walitoka.PICHA ZOTE NARICHARD  MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Naibu Spika, Ackson akiliombea dua Bunge na Serikali huku wakionekana wabunge wa upinzani wakititii
 Wakitoka baada ya dua kumalizika

Post a Comment