4x4

NAIBU SPIKA, DK. ACKSON ATANGAZA KUKATWA POSHO WABUNGE WA UPINZANI WANAOSUSIA BUNGE

 Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson akitangaza bungeni jDodoma jioni kwamba wabunge wa upinzani waliokuwa wakitoka bungeni posho zao zitakatwa kwa siku zote walizotoka. Matangaza mbele ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini. Uamuzi huo uliotokana na muongozo uliotolewa na Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ali Keissy, umeshangiliwa sana na wabunge wa chama tawala.
 Wabunge wa upinzani wakitoka bungeni muda mfupi kabla ya Bajeti ya Serikali kuanza kusomwa.
Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ali Keisy (CCM), ambaye alitoa muongozo bungeni akitaka wabunge wa upinzani waliokuwa wakitoka nje kila mara wakatwe posho kwani wanalipwa bila kufanya kazi hivyo kuliingizia taifa hasara.
Post a Comment