4x4

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI YA LEO June 18, 2016.

SIMU.tv: Wabunge wengine Ukawa watimuliwa,Watendaji wakunwa na utendaji wa JPM,Bibi amuuza mtoto Albino kwa wauaji,Askofu Gwajima atoweka.Pata dondoo za magazeti hapa; https://youtu.be/OxdVWKu--Tc

SIMU.tv:  Dkt.Salim: Kelele za Demokrasia zisiboe taifa,Njemba yabaka mchana wa Ramadhani, CUF yamfungia Lipumba vioo,Gwajima atimka nchini;https://youtu.be/aeahlNQK1HE

SIMU.tv:  PSPF yachungulia shimo, Dkt.Tulia atuliza  wabunge zaidi, Watoto washindwa kulala ndani wakihofia Kunguni  na Mashabiki waifata Yanga Algeria;https://youtu.be/W0EoRkupeqk


Regards,
Felister Joseph.
Post a Comment