4x4

WABUNGE WA UPINZANI WATOKA BUNGENI WAKIWA WAMEZIBA MIDOMO

 Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia akizungmza na wanahabari baada ya kutoka bungeni, bungeni Dodoma jana,  huku wakiwa wameziba midomo yao kuendeleza msimamo wao kuingia na kutoka bungeni vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika wa Bunge kwa madai ya kutokuwa na imani naye. Wanasema kitendo hicho cha kuziba midomo ni kuonesha hisia zao za kuzibwa midomo bungeni kwa kutochangia mijadala mbalimbali.
Wabunge wakiwa wameziba midomo
Post a Comment