WAKULIMA WA ZAO LA SHAHIRI WANAOSHIRIKIANA NA TBL GROUP WAADHIMISHA SIKU YAO

Wakulima wa zao la Shahiri kanda ya Kaskazini mwa Tanzania wanaoshirikiana na kampuni ya TBL Group wameadhimisha siku yao wilayani Karatu ambapo mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,William Ole Nasha wakiwemo wadau wao kutoka SABMiller,na makampuni mengine yanayouza  madawa na pembejeo za kilimo.
Wakulima waliweza kufanya maonyesho mbalimbali  ya kazi zao pia walielezea mafanikio walioweza kuyapata kutokana na kilimo cha zao la Shahiri
SHAI1Maofisa wa SABMiller na wafanyakazi wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho hayo ambapo pia TBL Group ilitunukiwa tuzo kwa kendeleza kilimo cha zao la Shahiri nchini
SHAI2Mkuu wa  Uendelezaji Kilimo cha Shahiri wa SABMiller kanda ya Afrika Thinus  Van Schoor akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wakulima wa Shahiri
SHAI3SHAI4Wakulima wa Shahiri wakitembeza wageni mashambani
SHAI5Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Maendeleo ya Uvuvi,William Ole Nasha (kulia) akimpongeza mkulima aliyejishindia zawadi ya kabati 2/4-Wakulima wa Shahiri wakitembeza wageni mashambani
SHAI6Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Maendeleo ya Uvuvi,William Ole Nasha (kushoto) akimpongeza mkulima wa Shayiri kutoka Kijiji cha Lendikinya wilaya ya Monduli,Masiaya Oloshuda aliyeshinda kwenye bahati nasibu ya kupata vifaa vya usalama shambani
SHAI7Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,William Ole Nasha akihutubia wananchi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.