4x4

WAZIRI WA AFYA AZUNGUMZIA MAANDALIZI YA SIKU UTOAJI DAMU DUNIANI

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari, kuhusu maandalizi ya Siku Uhamasishaji Watu kujitolea Damu Duniani itakayoadhimishwa Dodoma Juni 14, mwaka huu.Kushoto ni Meneja wa Oparesheni wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama.
 Wanahabari wakiwa katika mkutano huo ambapo nao waliombwa siku hiyo wajitolee damu

Post a Comment