Yajue mambo matano ya tiketi ya elektronicya UDART

Mfumo wa kadi maalumu za kielektroniki badala ya tiketi kwa abiria wa mabasi yaendayo haraka umeanza kutumika June 20 2016. Mfumo huu ambao utamuwezesha abiria kuweka fedha katika kadi hiyo kwa kutumia mitandao ya simu na utasaidia kupunguza msongamao katika vituo vya ukataji tiketi.
Meneja uhusiano wa UDART, Deus Bugaywa ameeleza kuhusu mfumo huo wa kadi na kusema kuwa …….
>>>Unapokwenda kununua kadi utapewa maelekezo ya namna ya kujisajili, kuna namba ya *152*22# ukipiga namba itakupa maelekezo, utachagua kwenye menu litatokea neno DART itakupa maelekezo kama unajisajili utatakiwa kujaza namba ya kadi, utajaza majina yako na utaweka namba yako ya siri.
Unaweza kuangalia video hii kwa kubonyeza hapa chini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.