4x4

YALIYOJIRI BUNGENI HII LEO.

Baadhi ya matukio yaliyojiri Bungeni hii leo June 2, 2016.

Naibu waziri Mhe. Jafo atoa tamko la serikali juu ya hali ya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na mgambo kwa wafanyabiashara wadogo. https://youtu.be/ZUdbhe3ZuLw

Mhe. Nyongo akumbushia ahadi ya rais mstaafu Dkt. Kikwete juu ya ukamilishaji wa ujenzi wa barabara za mji wa Maswa.  https://youtu.be/5_obKUQDo1M

Mbunge wa Mufindi kusini ahoji juu ya ukamilishaji wa mradi wa maji wa kata ya Mtwango ili uweze kukabidhiwa kwa wananchi.  https://youtu.be/WVHlwVwAdoQ

Je serikali ya muungano inaipatia serikali ya mapinduzi Zanzibar kiasi gani cha fedha kwa mwaka kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi?.  https://youtu.be/YTkisld3Zhw

Hii hapa mipango ya serikali ya kuhakikisha askari wa usalama wanakuwa waadilifu dhidi ya vitendo vya rushwa na ukosefu wa maadili. https://youtu.be/PoRbbUaOzD0

Mhe. Eng. Masauni atoa ufafanuzi juu ya upatikanaji wa nyumba za askari na maji kwa askari wa jeshi la polisi wilayani Uyui.  https://youtu.be/pshj7SVCo70


Regards,
Felister Joseph.
Post a Comment