4x4

YALIYOJIRI BUNGENI HII LEO

SIMU.tv:  Naibu Waziri Mhe. Jafo atoa ufafanuzi juu ya utatuzi wa ukosefu wa chumba cha kuhifadhia maiti katika kituo cha afya cha Chunya; https://youtu.be/tv3PZfs8ywU

SIMU.tv:  Je ni nini hatma ya msongamano mkubwa ya wajawazito ndani ya wodi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro? Mhe. Abood ahoji; https://youtu.be/_UP_AznxmVA

SIMU.tv:  Mbunge wa Nzega mjini Mhe. Bashe aitaka serikali kuanzisha masomo kwa kidato cha tano katika shule ya Sekondari Bulindi iliyoanzishwa kwa nguvu ya Mbunge; https://youtu.be/5FoM0Nyc6xI

SIMU.tv:  Haya hapa majibu ya serikali juu ya usambazaji wa nishati ya umeme katika vijiji vyote nchini vyenye kiwango kidogo cha usambazaji; https://youtu.be/ymeI3UQec2U

SIMU.tv:  Mbunge wa Lushoto Mhe. Shekilindi aiomba serikali kuanzisha mahakama ya ardhi katika wilaya ya Lushoto ikiwa tayari majengo yapo; https://youtu.be/iOB0AhtmAbs

SIMU.tv:  Je serikali ina mpango gani wa kusambaza maji ya mradi wa Bumbwiji kwenye vijiji vyote vinavyozunguka mradi huo huko Nachingwea? https://youtu.be/21uk9JNDZmw

SIMU.tv:  Mbunge wa Muheza aibana serikali na kutaka mustakabali wa malipo ya stahiki za wakulima 1128 wa msitu wa Delema Muheza; https://youtu.be/HLaHopoG64Y

SIMU.tv:  Yafahamu malengo na mkakati wa utekelezaji wa mpango wa kudhibiti ukatili dhidi ya watoto wa mwaka 2013/2016; https://youtu.be/9_3gA5HkeUk

Regards,
Felister Joseph.
Post a Comment