4x4

YALIYOJIRI BUNGENI LEO June 27, 2016

SIMU.tv:  Naibu waziri wa fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji awasilisha hati za uhamishaji fedha namba 1 na namba 2 za mwaka 2015/2016;https://youtu.be/cRVCEqHo-OU

SIMU.tv:  Je, serikali ya awamu ya tano ina mpango gani wa kukamilisha ahadi za miradi iliyoachwa na serikali ya awamu ya 4? Dkt. Possy afafanua; https://youtu.be/ZcBPAZqPtYc

SIMU.tv:  Mhe. Kaunje aihoji sababu ya jimbo la Lindi mjini kuwa na eneo la bahari ya hindi lenye urefu wa 112km huku eneo hilo likiwa halina mchango wowote kwa pato la taifa; https://youtu.be/2w8Tm6UXmiI

SIMU.tv:  Haya hapa majibu ya serikali juu ya upatikanaji wa maji katika vijiji ambavyo vimo ndani ya KM 5 ya bomba kuu la mradi wa maji wa Kashaswa; https://youtu.be/zJ53oeKdnBQ

SIMU.tv:  Mbunge wa Korogwe vijijini Mhe. Steven Ngonyani aibana serikali na kuitaka ikamilishe mradi mkubwa wa maji wa wilayani Momba;https://youtu.be/Xt3WQ1vvuZ8

SIMU.tv:  Mhe. Zawadi Koshuma aihoji serikali juu ya mpango wake wa kuongeza barabara zenye kiwango cha lami jijini Mwanza kama ilivyoahidiwa na Rais; https://youtu.be/7ANTkpxwN00

SIMU.tv:  Mbunge wa Mbinga vijijini awatetea wananchi wake na kutaka kujua hatma ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami wilayani Mbinga; https://youtu.be/EoK2KST7_gs

SIMU.tv:  Mhe. Amina Mollel ahoji mkakakati wa serikali katika kutatua tatizo la miundombinu isiyo rafiki kwa walemavu ili waweze kupata elimu bora; https://youtu.be/A0hYh6tHK1Q


Regards,
Felister Joseph.
Post a Comment