SIMU.tv: Mbunge wa viti maalum Mhe. Salome Makamba aitaka serikali kuzuia kuingizwa kwa vitendea kazi hatarishi vinavyohatarisha maisha ya wafanyakazi wa migodini. https://youtu.be/KL7TALHZ9FU
SIMU.tv: Mhe. Jafo atoa ufafanuzi juu ya utatuzi wa suala la uhaba wa miundombinu rafiki na uhaba wa maji kwa mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya. https://youtu.be/LSsa8JqkNeg
SIMU.tv: Mhe. Augustino Masele aitaka serikali kuunga mkono juhudi za wananchi katika kuimarisha sekta ya afya vijijini ili kuboresha huduma za afya.https://youtu.be/naGtE3hdg-k
SIMU.tv: Hizi hapa sababu zilichangia ubalozi wa Tanzania kufungua ubalozi wake nchini Israel baada ya kukata mahusiano yake hapo nyuma.https://youtu.be/g8a6nz-ZVJo
SIMU.tv: Mhe. Lucy Michael aihoji serikali juu ya ukamilishaji wa ujenzi wa barabara ya Njombe hadi Makete kwa kiwango cha lami.https://youtu.be/oGw1cDCkK90
Regards,
Felister Joseph.
Preview YouTube video Fidia Kwa Wafanyakazi Wa Mgodini Wanaoumia Kazini
Preview YouTube video Utatuzi Wa Suala La Miundombinu Rafiki Na Uhaba Wa Maji
Preview YouTube video Uimarishaji Wa Sekta Ya Afya Nchini
Preview YouTube video Sababu Za Tanzania Kufungua Ubalozi Nchini Israel
Preview YouTube video Ujenzi Wa Barabara Ya Njombe Kwa Kiwango Cha Lami
Comments