4x4

YALIYOJIRI HII LEO JUNE 24, 2016

SIMU.tv:  Mbunge wa Mchinga aiomba serikali kuyagawa majimbo ya Mchinga na Mtama yanayounda halimshauri ya Lindi na kuwa na halmashauri 2 zinazojitegemea. https://youtu.be/9kDAmh7XLGI

SIMU.tv:  Mbunge wa Pangani mhe. Aweso autupia mzigo serikali kutatua kero za maji katika jimbo la Pangani ili kuimarisha uchumi kwa wananchi. https://youtu.be/0sGGj8GdA6A
SIMU.tv:  Haya hapa majibu ya serikali juu ya utata wa migogoro ya maeneo ya wananchi na kambi za jeshi la polisi.  https://youtu.be/JwCpoLmeD8c

SIMU.tv:  Hizi hapa sababu zilichangia ubalozi wa Tanzania kufungua ubalozi wake nchini Israel baada ya kukata mahusiano yake hapo nyuma.https://youtu.be/g8a6nz-ZVJo  

SIMU.tv:  Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mhe. Nape Nnauye atoa ufafanuzi juu ya kutosikika kwa radio ya taifa TBC Nachingwea.https://youtu.be/qE30WBRzp84    

SIMU.tv:  Naibu waziri wa kilimo atoa ufafanuzi juu ya changamoto ya upotevu wa vocha za ruzuku za pembejeo unaofanywa na watumishi wasio waadilifu.https://youtu.be/FpwfXX9tZRw

SIMU.tv:  Haya hapa maamuzi ya serikali dhidi ya utoaji wa kipaumbele kwa wakulima kuchagua mbolea mahususi kwa ajili ya mazao.https://youtu.be/b3h_5j2HOdY
  
                                                                                                                                                                                                

HABARI.

SIMU.tv:  Serikali itandelea kutumia tafiti mbalimbali  za wataalamu wa ndani ili kutunga sera za fya ya ukimwi na kilimo: https://youtu.be/FRxuAMI6if8

SIMU.tv:  Waziri mkuu Mh.Kassim Majaliwa amesema serikali haitasita kumchukulia hatua kali za kisheria mtumishi atakae bainika  kufuja pesa za umma: https://youtu.be/Fk6T4kmpiF8

SIMU.tv:  Wakazi wa Chaani, Donge na Kisongoni visiwani Zanzibar wanatarajia kufaidika na mradi wa maji safi na salama kutoka katika jamhuri ya China:https://youtu.be/SloZBHR_99o    

SIMU.tv:  Wanawake wajane nchini wameungana na wenzao kuadhimisha siku ya wajane duniani na wameiyomba serikali kufanya marekebisho ya sheria za mirathi: https://youtu.be/bhTCemYOxsI

SIMU.tv:  Fahamu mambo kadha wa kadha kuhusu ushirikiano uliopo baina ya waislamu na wakristo kuhusu vita dhidi ya shetani: http://simu.tv/4kjcU3E

SIMU.tv:  Yajue mambo mengi kutoka kwa wajane wa mkoa wa Shinyanga wakukufahamisha kuhusu maadhimisho ya siku ya wajane duniani:http://simu.tv/mcS0S0H

Regards,
Felister Joseph.
Post a Comment