YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI


Waziri mkuu Mh.Kassim Majaliwa amewaagiza watendaji wote wa serikali kuhakikisha michango yote ya madawati inawafikia walengwa: https://youtu.be/huuvjoo9qsY

Wizara ya mambo ya ndani imeliagiza jeshi la polisi nchini kujipanga kikamilifu ili kukabiliana na vitendo ya mauaji:https://youtu.be/gMBbsFCxh_w

Gari la mwendokasi likiwa katika harakati ya kuikwepa bodaboda  limemgonga mlemavu aliyekuwa akivuka barabara maeneo ya kariakoo: https://youtu.be/sTEK269NSTg

Rais Magufuli amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri  na kumteuwa Waziri Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa wambo ya ndani: https://youtu.be/nscSn743vq0

Maelfu ya wanachama wa club ya soka Yanga  wamejitokeza katika zoezi la kupiga kura na kuchagua viongozi wa club hiyo; https://youtu.be/8K8L5Mb7dMw

Kocha wa timu ya Yanga amesema wanatarajia kuondoka kesho na kikosi chake kwa ajili ya kujiandaa na kombe la shirikisho barani Afrika: https://youtu.be/zOkWRjfzMMA

Mashindano ya  mataifa barani Ulaya yamefunguliwa jana nchini Ufaransa  ambapo mataifa 24 yanatarajia kuminyana kwa siku 30; https://youtu.be/HFOr1QWz9cM

Rais Magufuli amewateua Mhe. Charles Tizeba kuwa waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi huku Mhe. Mwigulu Nchemba akiteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi. https://youtu.be/NTeYRenzP5w

Waziri mkuu Kassim Majaliwa azitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha mbao zilizokamatwa kwa kukiuka kanuni mbalimbali zitengenezewe madawati. https://youtu.be/ihTjTQfHI-I

Mkuu wa mkoa wa tabora Aggrey Mwanri amefunga kiwanda cha mbao cha Kirungi Kirua kilichopo wilaya ya Kaliua  na kuagizwa kukamatwa kwa mmiliki wa kiwanda hicho na maafisa misitu wa wilaya hiyo.
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amemtaka mkandarazi anayejenga daraja la mto Sibiti linalounganisha mkoa wa Singida na Simiyu kuendelea na ujenzi wa daraja hilo uliokuwa umesimama kwa takribani miaka 3.  https://youtu.be/eU_9M7fjnYQ

Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Pwani wamelaani vitendo vya mauaji ya kikatili yaliyotokea hivi karibuni katika mikoa ya Tanga na Mwanza. https://youtu.be/6RlhAaTGgF0

Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Charles Mwijage ameagiza makampuni yaliyopewa dhamana ya kusambaza sukari nchini kutumia magari mengi zaidi kusafirisha bidhaa hiyo https://youtu.be/yGocPulmm5E

Baraza la manispaa limekamata vyakula vya biashara vya mama ntilie ambavyo zimepigwa marufuku kutokana na kuwepo kwa Kipindupindu. https://youtu.be/3k-QyxD4taQ

TBC: Hatimaye aliyekuwa mwanamasumbwi nguli duniani marehemu Muhammad Ali amezikwa katika makaburi ya mji aliozaliwa. https://youtu.be/4aD8KupvpZE


Regards,
Felister Joseph.
Attachments area
Preview YouTube video BOT Yachangisha Fedha Za Madawati Preview YouTube video Jeshi La Polisi Lajipanga Upya Preview YouTube video Ajali Ya Basi La Mwendokasi Kariakoo Preview YouTube video Waziri Mwigulu Nchemba Achukua Nafasi Ya Kitwanga Preview YouTube video Maelfu Wajitokeza Kuchagua Viongozi Yanga Preview YouTube video Yanga Yajiandaa Kuacha Katika Shirikisho Barani Afrika Preview YouTube video Mataifa 24 Yanatarajia Kuminyana Nchini Ufaransa Preview YouTube video Rais Magufuli Awateua Tibeza Na Nchemba Kuwa Mawaziri Wa Wizara Preview YouTube video Majaliwa Azikaba Koo Halmashauri Nchini Madawati Mashuleni Preview YouTube video Kiwanda Cha Mbao Cha Kirungi Kirua Chafungiwa Preview YouTube video Prof Mbarawa Amkaba Koo Mkandarasi Wa Daraja La Mto Sibiti Preview YouTube video Waislamu Pwani Walaani Vitendo Vya Mauaji mwanza Na tanga Preview YouTube video Mwijage Ayaonya Makampuni Yalipewa Dhamana Ya Kusambaza Sukari Preview YouTube video Baraza La Manispaa Lateketeza Vyakula Vya Mama Ntilie new Preview YouTube video Marehemu Muhammad Ali Azikwa Leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*