YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO June 18, 2016.

SIMU.tv: Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu amezindua harambee ya kuchangia bweni la wanachuo wa kike katika chuo kikuu cha Mzumbe Morogoro.https://youtu.be/FwP2srKVCtw

SIMU.tv: Baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Misungwi limesema linaunga mkono maamuzi ya rais Magufuli chini ya kauli mbiu ya Hapa kazi tu katika kuwaletea wananchi maendeleo; https://youtu.be/JARk3kroOik

SIMU.tv: Chama cha waandishi wa habari Mbeya kimeanza rasmi harakati za kuwahamasisha waandishi wa habari kuwa na sifa ya taaluma ya kazi hiyo;https://youtu.be/j4tlEqLC_n0

SIMU.tv: Kampuni ya reli TRL imewalalamikia baadhi ya wananchi waishio karibu na miundombinu ya reli kufumbia macho waharibifu wa miundombinu hiyo.https://youtu.be/3t7G2qu-s-w

SIMU.tv: Sekta ya utalii katika jumuiya ya Afrika inaweza kuwa na mchango mkubwa katika kukuza uchumi ikiwa nchi husika zitatumia ipasavyo fursa za soko la utalii wa ndani. https://youtu.be/vmCY-EiacCc

SIMU.tv: Fuatilia mazungumzo kuhusu tukio lililompata  hivi karibuni msanii wa zamani wa bongofleva Rehema  Chalamila almaarufu kama Ray C:https://youtu.be/HlpYIJ50Mbc?t=4

SIMU.tv: Timu ya taifa ya Italia yafuzu hatua ya pili ya michuano ya EURO 2016 kwa kuifunga  timu ya taifa ya Sweden kwa jumla ya goli 1-0;https://youtu.be/EnI4uXWpZj0

SIMU.tv: Naibu waziri wa habari sanaa na michezo apokea msaada wa mageti kwa lengo la kuboresha miundombinu ya vyoo uwanja wa taifa;https://youtu.be/-yPGgfK150M

SIMU.tv: Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF laingilia kati mgogoro uliojitokeza wakati wa uchaguzi wa chama cha soka cha Kinondoni KIFA;https://youtu.be/L1dwAZyYQS4


Regards,
Felister Joseph.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

WAKIANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA, MBOZI

JK AWATUNUKU WANAFUNZI 1400 DUCE DAR ES SALAAM