4x4

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO June 26, 2016

SIMU.tv: Wakazi Mabwepande waiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi uliopo baina yao na waziri mkuu mstaafu Mhe.Frederick Sumaye; https://youtu.be/0_xO0V-PGD0

SIMU.tv: Wananchi wa kata ya Makanyagio wajitolea kujenga barabara kwa lengo la kurahisisha shughuli za usafirishaji;https://youtu.be/50D8luyV-zg

SIMU.tv: Timu ya taifa ya Chile yanyakua taji la michuano ya Copa America 2016 Kwa kuitandika Argentina kwa jumla ya penati 4-2;https://youtu.be/6nT_wPZbVQc

SIMU.tv: Waziri wa habari Mh.Nape Nnauye awataka watanzania kuishangilia kwa timu ya Yanga katika mchezo wake dhidi ya TP Mazembe;https://youtu.be/ckCETVgYh0c

SIMU.tv: wananchi wa kata ya Katente wilayani Bukombe waiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi uliopo baina yao na mwekezaji;https://youtu.be/EB7O8L5DRNI

SIMU.tv: Rais Dkt: John Magufuli awataka viongozi wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania kuendelea kuhubiri amani na umoja nchini;https://youtu.be/p1ksybRyzFQ

SIMU.tv: Timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 yainyoa timu ya vijana ya shelisheli kwa jumla ya goli tatu kwa sufuri;https://youtu.be/v3yS-ggm0z0

SIMU.tv: Jifunze mambo kadha wa kadha ya msingi  kuhusu suala zima la elimu kwa mlipaji kodi  na ugawajibu wa mashine wa EFD:https://youtu.be/vLcpFXS8hhM

SIMU.tv: Fahamu mambo mengi kutoka kwa wadau wa biashara wakikuelimisha  kuhusu Uzunduzi ma maonyesho ya kitaifa ya biashara:https://youtu.be/8n5Bg193B50

SIMU.tv: Fahamu mambomengi ya msingi  kutoka katika taasisi ya kuwawezesha vijana ususani  kuwawezesha vijana baada ya mafunzo mbalimbali: https://youtu.be/IioKMVw48NM


Regards,
Felister Joseph.
Post a Comment