4x4

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO June 28, 2016.

SIMU.tv: Mbunge wa Maswa Mashariki Mhe.Stanslaus Haroun Nyongo akiihoji serikali kuhusu kupandishwa hadhi kwa hospitali ya wilaya ya Maswa; https://youtu.be/wdQie78gItA

SIMU.tv: Majibu ya serikali kutoka kwa Naibu waziri  wa TAMISEMI Mhe.Suleiman Jafo kuhusu kupandishwa hadhi kwa mamlaka ya miji wa Namanyele; http://simu.tv/C3drITB

SIMU.tv: Naibu waziri Mhe.Suleiman Jafo akijibu swali la Mbunge Mhe.Ezekiel Maige kuhusu pesa za miradi ya maendeleo halmashauri ya Msalala; https://youtu.be/H0hovhHi8Ys

SIMU.tv: Mbunge wa Makambako Mhe. Deo Sanga aibana serikali kuhusu ukamilishaji wa miradi ya maji kati miji ya Manga na Mtulingara;https://youtu.be/jNbRaHW-tKc

SIMU.tv: Je ni lini mradi mkubwa wa maji wilayani Longido utaanza rasmi ambao utakuwa ni mkombozi kwa wananchi wote wa wilaya ya Longida? Eng. Isack Kamwelwe afafanua; https://youtu.be/HnS42Eh7gu8


NEWS.

SIMU.tv: Serikali yasema itawafukuza kazi warajisi wa vyama vya ushirika nchini watakao shindwa kusimamia vyma vyama vyao;https://youtu.be/ZC8LbGDUtv8

SIMU.tv: Jeshi la polisi mkoani Tabora lafanikiwa kukamata Bunduki nne  zilizokuwa zikitoroshwa kutoka Kaliua kwenda sehemu nyingine mkoani humo; https://youtu.be/ph6P7Exy_XA

SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amsimamisha kazi mhandisi Josephat Shehemba kwa kushindwa kuwajibika;https://youtu.be/9_DzOSOqzIQ

SIMU.tv: Mahakama kuu kanda ya Iringa yataja tarehe ya hukumu  ya kesi aliyekuwa mwandishi wa kituo cha Channel Ten Marehemu Daudi Mwangosi; https://youtu.be/M2oyNs0Y2Gg

SIMU.tv: Mshindi wa UMISETA wa jumla  kwa mwaka anatarajia kwenda nchini Ufaransa kushiriki mashindano maalumu ya kimataifa ya soka:https://youtu.be/FbRjG08-fmU

SIMU.tv: Mechi ya kombe la shirikisho barani Afrika inatarajiwa kuchezwa leo baina ya Yanga na TP Mazembe katika uwanja wa taifa jijini Dar Es Salaam: https://youtu.be/mHa7B8bWQTU

SIMU.tv: Fahamu mambo mengi ya msingi  yatakayokujenga  kuhusu tamasha kubwa sana la vijana la twenzetu kwa Yesu:https://youtu.be/5p1R1qx0zLI

SIMU.tv: Jifunze mambo mbalimbali kutoka kwa mdau wa elimu akikufahamisha kuhusu kukaa kwenye madawadati na faida zake kwa wanafunzi: https://youtu.be/koljLR0cf3k

SIMU.tv: Yajue  mambo mengi kutoka kwa mwenyekiti wa jukwaa la katiba akikufafanulia kuhusu mchakato wa katiba mpya: https://youtu.be/_xjV_2MtaqE


Regards,
Felister Joseph.
Post a Comment