4x4

YALIYOJIRI VITUO VYA TV


SIMU.tv: Vijana wanaohitimu kidato cha 4 na 6 nchini  wanatakiwa kupewa elimu kabla hawajafika chuo kikuu ili kuepuka migogoro:https://youtu.be/9N3I1kk9ods

SIMU.tv: Wabunge wametakiwa kuweka maslahi ya taifa mbele  na kitu kimoja  ili kuwawakilisha vyema wananchi wao:https://youtu.be/nEUejEQTBHw

SIMU.tv: Taasisi ya JGI yawataka wakazi wa mkoa wa Kigoma na Katavi kushirikiana na taasisi hiyo ili kuboresha huduma za jamii:https://youtu.be/banKLav8Ra8

SIMU.tv: Makamo wa Rais wa Zanzibar  ameuagiza uongozi wa shirika la  bandari   kukabiliana na mrundikano  wa makontena uliopo bandarini : https://youtu.be/DBKSYV1K2Zc

SIMU.tv: Ungana na mkemia mkuu wa serikali akikujuza kuhusu shughuli zinazofanywa na ofisi ya mkemia mkuu wa serikali:https://youtu.be/gql1XreRXXA
SIMU.tv: Fahamu mambo muhimu yatakayokujenga kutoka kwa Prof. wa chuo cha Mzumbe akielezea namna ya kuwaongezea wahitimu uwezo wa kujiajiri : https://youtu.be/JleSrXszNKY

SIMU.tv: Yajue mengi kutoka kwa Diwani wa kata ya Buruguruni akikujuza kiundani kabisa kuhusu changamoto zinaikabili kata hiyo:https://youtu.be/2VP7pNn1Eao

Post a Comment