ANGALIA VIDEO GOLI LA SAMATTA ALILOFUNGA JANA USIKU KWENYE EUROPA LEAGUE



Jana usiku Juni 14, nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Ally Samatta alifunga goli kwenye mchezo wa hatua za awali kuwania kucheza Europa Ligue wakati Genk ikicheza dhidi ya Buducnost Podgorica.
Mchezo huo ulimalizika kwa Genk kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 huku Samatta akiwa amefunga bao la pili dakika ya 79 huku baada ya Neeskens Kebano kufunga bao la kwanza dakika ya 17 kwa mkwaju wa penati.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.