Simu.tv: Wakazi wa kata ya Mkungwe katika Halmashauri ya Kigoma, wameipongeza serikali kwa kuwatekelezea mradi wa maji safi uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 500; https://youtu.be/_v9xX7NaK_M
Simu.tv: Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpango wa malipo kwa stakabadhi ghalani, umesababisha migogoro na wakulima kwa watendaji kushindwa kusimamia vizuri; https://youtu.be/d6-3kDBB-So
Simu.tv: Afisa mwandamizi wa ustawi wa jamii katika taasisi ya mifupa hospitali ya Muhimbili MOI Mary Michael amesema jamii inapaswa kujitokeza kusaidia tatizo la vichwa vikubwa kwa watoto; https://youtu.be/hlg2EIp4izE
Simu.tv: Wavunaji wadogo wa miti katika shamba la miti la Taifa Sao Hill wameiomba serikali kuwapatia vibali wavunaji wadogo kuweza kuifanya kazi hiyo; https://youtu.be/U-aFPDGwkl4
Simu.tv: Mazungumzo maalumu na mbunifu katika masuala ya mavazi nchini Sheria Ngowi; https://youtu.be/EX4UoZo-Ycg
Simu.tv: Mtanzania Jenipher Shigori ameibuka mshindi wa pili katika shindano la ubunifu wazo la bishara kwa kubuni Taulo za kike zenye uwezo wa kujihifadhi katika kipindi cha Hedhi; https://youtu.be/FpW-9vLzi1E
Simu.tv: Mabingwa wa soka wa Tanzania ambao ni wawakilishi pekee katika mashindano ya Kimataifa Yanga, wamelazimishwa sare na timu ya Medeama kwa kufungana mabao 1-1; https://youtu.be/XQLgxJ6h5vA
Simu.tv: Naibu waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni na Michezo Anastazia Wambura ametembelea kambi ya riadha iliyoko Mbulu na kuwataka wanariadha hao kujiepusha na matumizi ya dawa za kusisimua misuli; https://youtu.be/6TIaNFbUzBA
Simu.tv: Kukosekana kwa viwanja pamoja na kutothaminiwa kwa wanamichezo hapa nchini imeelezwa kusababisha michezo kudorora hapa nchini. https://youtu.be/ZutYr8YseK4
Simu.tv: Rais Dr John Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na kuwapandisha vyeo maafisa wa jeshi la polisi.https://youtu.be/hgjuAPSYo6c
Simu.tv: Wananchi wa kata ya Magugu wilayani Babati wametakiwa kutunza vivutio vya asili vilivyopo katika kata hiyo ili kuendeleza sekta ya utalii hapa nchini. https://youtu.be/uSGUe6t1BmI
Simu.tv: Mbunge wa Mbarali Mkoni mbeya ametoa power tiller 104 kwa vijiji 102 vya wilya ya Mbarali ili kuongeza uzalishaji katika kilimo.https://youtu.be/jMfpqc3BUAc
Simu.tv: Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera, bunge, kazi, vijana ajira na walemavu Jenista Mhagama ametoa muda wa miezi miwili kwa kampuni ya GS one kukamilisha ujenzi wa barabara kutoka Peramiho hadi kijiji cha Morogoro. https://youtu.be/E0GFJHK-Lnw
Simu.tv: Mfuko wa taifa wa bima ya afya NHIF umefanya mabadiliko ya muundo wa utendaji wake ili kuwezesha kufikia malengo ya afya bora kwa wote. https://youtu.be/E_Rz2zNzNRI
Comments