4x4

HATARI LAKINI SALAMA TAZAMA MTOTO WA MIAKA MITATU AKIOGELEA ZIWA NYASA

Pamoja na  kuwa  ziwa  Nyasa  ni  ziwa  lenye mawimbi makali  kuliko maziwa yote nchini mtoto   huyu anayekadiliwa  kuwa na miaka mitatu mkazi wa Manda wilaya ya  Ludewa mkoani Njombe akiogelea  bila hofu katika  ziwa  hilo kama alivyonaswa na kamera ya matukiodaima hivi karibuni
Amina  mtoto  wa Nyoka  ni Nyoka  kwani  watoto  wanaoishi mwambao mwa  ziwa  nyasa  hufundishwa  kuogelea  ziwani wakiwa na mwaka mmoja
Post a Comment