JAJI MKUU AMSABAHI SPIKA WA BUNGE NYUMBANI KWAKE.

SP1Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande Othman akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mke wa Spika Dkt Fatma Mganga. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja  na matibabu ya Afya yake.
SP2Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed ChandeOthman aliyefika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka India ambapo alikwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.
SP3Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akifurahia jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed ChandeOthman aliyefika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.(Picha na Ofisi ya Bunge)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA