4x4

KIPUTE CHA YANGA NA MEDEAMA YA GHANA

 Mashabiki wa Yanga wakicheza kidali po kabla ya kuanza  mchezo na Medeama ya Ghana wa kuwania Kombe la Shirikisho la Afrika kwenye Uwanja wa Taifa leo. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-0. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
 Msemaji wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro akiwaongoza mashabiki wa Yanga SC, kushangilia wakati wa mechi dhidi ya Medeama SC ya Ghana ya kuwania Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 Mashabiki wa Simba akiwadhihaki watani wao wa jadi mashabiki wa Yanga baada ya timu ya Medeama ya Ghana kusawazisha bao.

 Mashabiki wa Yanga wakishangilia bao la kuongoza dhidi ya timu ya medeama ya Ghana


 Mashabiki wa Simba wakiungana na wachezaji wa timu ya Medeama SC ya Ghana kushangilia bao la kusawazisha dhidi ya Yanga SC
 Wachezaji wa Yanga SC, Amis Tambwe (kushoto) na Simon Msuva wakiwakabili wachezaji wa Medeama SC ya Ghana, Moses Amponsah (kulia) na  Samuel Adebe wakati wa mtanange huo.
 Donald Ngoma wa Yanga akitmtoka mchezaji wa Medeama ya Ghana
 Thaban Kamusoko wa Yanga akiwatoka wachezaji wa Medeama ya Ghana
 Kelvin Yondan akijiandaa kuwatoka wachezaji wa Medeama
 Obrey Chirwa wa Yanga akichuana na mchezaji wa Medeama ya Ghana Bernad Danso

Kocha wa Yanga, Hans pluijin akishangaa baada ya timu yake kutoka droo na Medeama ya Ghana
Post a Comment