KONGAMANO LA VIONGOZI WASTAAFU AFRIKA (AFRICAN LEADERSHIP FORUM 2016) LAMALIZIKA JIJINI DAR ES SALAAM


1Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wakati akifunga  wa Kongamano la Viongozi wastaafu wa Afrika 2016 (African Leadership Forum 2016) lililoanza jana na kumalizika leo  jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
2Rais Mstaafu wa Namibia Mh. Hifikepunye Pohamba akifuatilia mada katika kongamano hilo Viongozi wastaafu wa Afrika 2016 (African Leadership Forum 2016) lililoanza jana na kumalizika leo jijini Dar es salaam
3Viongozi mbalimbali na washiriki wakiwa katika kongamano hilo lililomalizika leo.
4Viongozi na washiriki pa oja na waalikwa wakiendelea na kongamano hilo le kabla ya kumalizika na kufungwa rasmi leo.
5Rais Mstaafu wa Tanzania Mh Benjamin William Mkapa katikati akiwa na Ali Mufuruki mmoja wa washiriki wa kongamano hilo pamoja na Dk. Elsie Kanza wakifuatilia mada katika kongamano hilo.
6Rais Mstaafu wa Msumbiji Mh. Armando Guebuza kulia  ni miongoni mwa marais wastaafu waliohudhuria katika kongamano hilo.
7
8Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mh. Thabo Mbeki akizungumza na kutoa mchango wake kuhusu masuala ya kiuchumi katika kongamano hilo.
9

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.