MAKAMISHNA WA POLISI WALA KIAPO CHA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA IKULU LEO


1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli akizungumza Ikulu mara baada ya Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) waliopandishwa vyeo  kula kiapo cha maadili ya Utumishi wa Umma Ikulu leo, Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Lameck Nchemba na Naibu Waziri Injini Hamad  Masauni.(PICHA NA JOHN BUKUKU WA FULLSHANGWE-IKULU)
2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli akifafanua mambo mbalimbali mara baada ya makamishna hao kula kiapo cha Maadili katika utumishi wa Umma Ikulu leo.
34Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) waliopandishwa vyeo wakiapa mbele ya Rais Dk. John Pombe Magufuli na viongozi mbalimbali wa serikali Ikulu leo.
56Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) waliopandishwa vyeo wakiapa mbele ya Rais Dk. John Pombe Magufuli na viongozi mbalimbali wa serikali Ikulu leo.
78Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya Kamishna wa Sekretariati ya Maadili ya Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda.
9Baadhi ya Makamishna wa jeshi la Polisi nchini na viongozi wa vitengo mbalimbali Makamo Makuu ya Jeshi la Polisi wakifuatilia kiapo hicho.
10Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange kulia Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. Othman Rashid wakiperuzi mtandao  huku wakifurahia jambo wakati wa hafla ya kuwaapisha Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) Ikulu leo
12Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Balozi John Kijazi akisamiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika hafla hiyo.
13Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati Kamishna wa Sekretariati ya Maadili ya Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda. akiwaongoza Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) Ikulu leo wakati alipokuwa wakila kiapo kulia ni Mh. Angela Kairuki Waziri Katika Ofisi ya Rais Utumishi wa tatu kutoka kulia ni Mh. Mwigulu Nchemba Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na wa nne ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Hamad Masauni
14Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) wakitia saini mara baada ya kula kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma Ikulu leo
1516Baadhi ya Viongozi Mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo
18Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na baadhi ya Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) Ikulu leo 
19Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Pamoja na Makamishna wa Jeshi la Polisi
20Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Kamishna wa Sekretariati ya Maadili ya Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda mara baada ya kiapo hicho kukamilika kulia ni Waziri Ofisi ya Rais Utumishi Mh. Angela Kairuki na katikati ni nyuma ni Balozi John Kijazi Katibu Mkuu Kiongozi.
21Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli akitoa huduma ya kugawa vitafunwa kwa wageni wake mara baada ya hafla hiyo kumalizika
22Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli akitoa huduma ya Vitafunwa kwa Kamishna wa Magereza Bw. John Casmir Minja mara baada ya kumalizika kwa hafla hiyo leo.
23Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli akitoa huduma ya Vitafunwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai,(CP) Diwani Athuman mara baada ya kumalizika kwa hafla hiyo leo.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

KWA HERI KAMANDA WETU ABBAS KANDORO

YANGA SC WAANZA KAZI AFRIKA LEO…WANAKIPIGA NA U.S.M. ALGER SAA 4:00 USIKU ALGERIA

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA