MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM July 23, 2016

SIMU.tv:  Tazama shamra shamra zinazojiri katika mkutano mkuu maalumu wa Chama cha Mapinduzi katika makabidhiano ya uongozi wa chama hicho; https://youtu.be/ZH_8mt12b0M

SIMU.tv:  Tazama msanii nguli Hadija Kopa akiwatumbuiza wana CCM kwenye mkutano mkuu wa kumchagua Dr.Magufuli kuwa mwenyekiti wa chama hicho. https://youtu.be/7QBA-k7COM0

SIMU.tv:  Fuatilia mtazamo wa baadhi ya wanachama wa CCM juu ya Rais Magufuli na Imani yao kwake kufuatia utendaji wake makini.https://youtu.be/H4qp99kIlbU

SIMU.tv:  Nini tafsiri ya dhana ya Kofia mbili kuvaliwa na mtu mmoja aliyotajwa na hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere;https://youtu.be/PwI0HWTOEYQ

SIMU.tv:  Mkuu wa wilaya ya Nkasi azungumzia kwa undani dhamira ya rais Magufuli juu mapambano dhidi ya rushwa ndani ya chama cha mapinduzi; https://youtu.be/n0BROURDk_w

SIMU.tv:  Baadhi ya viongozi akiwemo Mhe. Bashe wamzungumzia mwenyekiti mstaafu Mhe. Kikwete kwa namna tofauti kiutendaji;https://youtu.be/ZXcjirC_l_k

SIMU.tv:  Mwenyekiti wa CCM Rorya atoa mtazamo wake juu ya mfumo wa chama cha mapinduzi wa kubadilishana nafasi za uongozi.https://youtu.be/LHFtXCJGNQc

SIMU.tv:  Mwenyekiti wa CCM Mhe. Jayaka Kikwete akizungumzia namna CCM inavyofuata misingi ya demokrasia ya kubadilishana madaraka;https://youtu.be/kdJYbgh_usU
SIMU.tv:  Ukumbi wa mikutano wa CCM walipuka kwa shangwe na vigelegele baada ya nyimbo za kuisifu CCM kuimbwa;https://youtu.be/MC8jr9db4bA

SIMU.tv:  Kauli ya Mwenyeki wa CCM Jakaya Kikwete kuhusu taarifa zilizokuwa zimeenea kuwa CCM haitaki kumpa uenyekiti Rais John Magufuli; https://youtu.be/nrvP5pUldXw

SIMU.tv:  Kundi la Sanaa la TOT lamuaga mwenyekiti mstaafu Mhe. Kikwete kwa wimbo maalum unaolezea manufaa lukuki aliyoyafanya JK;https://youtu.be/ERqVgU7KyF4

SIMU.tv:  Mhe. Nape Nnauye atoa utambulisho mfupi wa viongozi wa CCM na wageni mbalimbali waliowasili katika mkutano huo mkuu.https://youtu.be/x_xl_dMrs7Y

SIMU.tv:  Kauli ya Mwenyeki wa CCM Jakaya Kikwete kuhusu taarifa zilizokuwa zimeenea kuwa CCM haitaki kumpa uenyekiti Rais John Magufuli; https://youtu.be/nrvP5pUldXw

SIMU.tv:  Mhe.Jakaya Kikwete , Mwenyekiti wa CCM akizungumzia namna katibu mkuu Mhe. Kinana alivyohakikisha CCM inarudisha imani kwa watanzania; https://youtu.be/s5fLnRACJLY

SIMU.tv:  Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete akiwashukuru wanachama wa CCM kwa  kumuamini katika kipindi chake cha uongozi ndani ya CCM; https://youtu.be/SHzcIgiaa7s

SIMU.tv:  Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete azungumzia umuhimu wa viongozi na wanachama kuungana pamoja katika kukijenga Chama Cha Mapinduzi, Suala la wanachama kulipa ada, hali ya CCM ilivyokuwa katika uchaguzi mkuu wa 2015; https://youtu.be/AAcjk3upWek

SIMU.tv:  Wosia wa Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete kwa viongozi wa CCM kuhakikisha wanafanya kazi karibu na wananchi katika kukijenga Chama Cha Mapinduzi, wanawake kupewa nafasi za uongozi ndani ya chama; https://youtu.be/MtBbPO-oMtw
SIMU.tv:  Katibu mwenezi chama cha mapinduzi wilaya ya Bagamoyo akiwashauri wanachama wa CCM kuwa wamoja wakati wote;https://youtu.be/AAcjk3upWek

SIMU.tv:  Mjumbe wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Zanzibar akielezea utendaji wa Rais Magufuli ndani ya Chama Cha Mapinduzi;https://youtu.be/C1yjAGVec8U
SIMU.tv:  Fahamu kauli ya Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete kuhusu utendaji kazi wa Rais John Magufuli katika kutekeleza Ilani ya CCM;https://youtu.be/Q4uJ-viWCVg

SIMU.tv:  Hotuba ya Mzee Yusuf Makamba akizungumzia imani yake kwa mwenyekiti  mtarajiwa wa CCM Mhe. Rais John Magufuli, suala la Askofu Gwajima kusema CCM haitaki kumpa Magufuli uenyekiti; https://youtu.be/lhwUQ_9eUQ4

SIMU.tv:  Fahamu alichosema Mhe. Augustino Mrema, mwenyekiti wa chama cha TLP kuhusu uchapakazi wa Rais John Pombe Magufuli:https://youtu.be/R4CE7tAjLHc

SIMU.tv:  Mwenyekiti wa Chama cha UDP, John Cheyo akizungumza wakati wa uteuzi wa Rais John Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM;https://youtu.be/6DQYG6l8AFU

SIMU.tv:  Fahamu kauli ya Fred Mpendazoe akizungumzia namna Chama Cha Mapinduzi kinavyofanya kazi katika kupambana na ufisadi, kuleta maendeleo  na  kutangaza kurudi ndani ya CCM; https://youtu.be/gTQcAFzexsY

SIMU.tv:  Hotuba ya Mgana Izumbe Msindai akitangaza kurejea ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM na kuwataka wana CCM kudumisha umoja ndani ya chama; https://youtu.be/DcmNspy1xss
SIMU.tv:  Mwenyeki wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Jakaya Kikwete akimtangaza  Rais Magufuli kushinda uenyekiti wa CCM kwa kura 2398 na kukabidhiwa Ilani ya CCM; https://youtu.be/HJ-FpPcAhWk

SIMU.tv:  Hotuba ya mwenyekiti mpya wa CCM, Mhe. John Magufuli akizungumza mara baada ya kutangazwa kuwa mwenyekiti mpya wa CCM;https://youtu.be/7owByJrkS1A

Regards,
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA CHAKE CHAKE,MKOA WA KUSINI PEMBA LEO.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

TFF YATANGAZA MAJINA YA WACHEZAJI 30 WATAKAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA MSIMU HUU

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA