4x4

MKUU WA WILAYA YA TUNDURU, HOMERA AKUTA KITUO CHA POLISI HAKUNA HATA POLISI MMOJA

 Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera (pichani) afanya ziara ya kushitukiza katika kituo cha Polisi Matemanga, Kata ya Namwinyu tarafa ya Matemanga.
Katika ziara hio Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya hakumkuta Polisi hata Mmoja kituoni hapo.


Post a Comment