4x4

NAIBU WAZIRI MHE.ANASTAZIA WAMBURA ATEMBELEA MITAMBO YA TBC MANYARA


many1Mkuu wa Kituo cha TBC Manyara Bw. Mganga Mwanja (wa kwanza kulia)akimweleza Naibu Waziri wa Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo  (katikati)  Mhe.Anastazia Wambura changamoto ya mitambo waliyo nayo alipotembelea eneo la mitambo ya kurusha matangazo leo katika Mji wa Babati katika ziara yake ya kikazi.
many2Katibu Tawala Mkoa wa Bw.Manyara Eliakim Maswi akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mji wa Manyara Bi. Rena Urio  leo kabla ya kuanza  kwa ziara ya Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura(wa pili kushoto) kutembelea vivutio vya kiutamaduni vilivyoko katika Wilaya ya Babati.
Anitha Jonas – MAELEZO,BABATI
Post a Comment