POLISI WANNE WAUWAWA KATIKA MAANDAMANO JIJINI DALLAS


Mdunguaji amewapiga risasi na kuwauwa polisi wanne na kujeruhi wengine saba huko Dallas, Marekani katika maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi yanayofanywa na polisi.Milio ya risasi ilisikika wakati waandamanaji walipokuwa wakiandamana katika mji huo. Mtu mmoja anashikiliwa na polisi na mwingine mmoja aliyeonekana na bunduki amejisalimisha.
        Polisi wakiwa kazini wakimsaka mdunguaji 
Hali ilikuwa inatisha kiasi ya watu kujificha kwenye magari wakati polisi wakihaha kumsaka mdunguaji
Huyu aliamua kundamana na bunduki yake, na sasa amejisalimisha polisi kwa mahojiano zaidi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*