. Mwakilishi
Maalumu wa masuala ya maji kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa Elimu, Sayansi na
Utamaduni (UNESCO) na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Watu wa Kenya Mwai Kibaki (kushoto)
akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Maonesho ya Wiki ya Maji
Afrika (Sylivester Matemu) wakati wa maonesho ya sita katika ya wiki ya maji
Afrika yanayoendelea jijini Dar es salaam. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Emmanuel Kalobelo.
.
Mwakilishi Maalumu wa masuala ya maji kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa Elimu,
Sayansi na Utamaduni (UNESCO) na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Watu wa Kenya Mwai
Kibaki akisalimia na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Mhandisi Emmanuel Kalobelo leo jiji Da es salaam.
.
Katibu wa Mwakilishi Maalumu wa masuala ya maji kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa
Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Watu wa Kenya
Mwai Kibaki (katikati), Profesa Nick Wanjohi akifafanua jambo kwa mwakilishi
huyo alipotembelea na daraja la Mwalimu Nyerere linalounganisha eneo la
Kigamboni kupitia bahari ya Hindi na eneo la katikati ya jiji la Dar es salaam.
Mwakilishi Maalumu wa masuala ya maji kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Watu wa Kenya Mwai Kibaki (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi walioandamana kutembelea daraja la Mwalimu Nyerere linalounganisha eneo la Kigamboni kupitia bahari ya Hindi na eneo la katikati ya jiji la Dar es salaam.

(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
Comments