4x4

TAZAMA PICHA ZA BARAKA DA PRINCE NA NAJ ULAYA2
Naj ameungana na mpenzi wake, Barakah Da Prince nchini Afrika Kusini walikoenda pamoja na mambo mengine kushoot video.

Barakah na Alikiba wapo nchini humo tangu wiki iliyopita ambako pia walidaiwa kuvamiwa na watu wenye silaha na kuporwa mali. Inaonekana kuwa mastaa hao sasa wamerejea tena barabarani huku Naj akimsindikiza Barakah kwenye interview za redio na TV nchini humo.
1
“Keep rocking rockstar, mama’s proud of you,” ameandika Naj kwenye picha ya Barakah aliyoiweka Instagram.
3

Tayari hitmaker huyo wa ‘Siachani Nawe’ amefanya interview na MTV Base, SABC na 5 FM na Naj ameonekana kuwa naye bega kwa bega.
Kwenye picha nyingine akiwa na mpenzi wake huyo, Naj ameandika: Forever by your side.”
4

6
Post a Comment