4x4

WADAU WAJADILI NAMNA YA KUTEKELEZA SERA YA UCHUMI VIWANDA KWA VITENDO.


Mkurugenzi Mkuu wa EPZA Canal, Joseph Simbakalia akizungumza na wajumbe pamoja na wawekezaji kutoka jiji la Fuzohou nchini China jijini Dar es Salaam leo (kulia) ni mwakilishi wa ubalozi wa China nchini Tanzania, Sun Chengfeng anaeshughulikia maswala ya baiashara na uchumi ikiwa ni juhudi za uongozi wa EPZA kuunga mkono kauli mbiu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Joseph Magufuli kufufua viwanda hapa nchini ili kukuza uchumi wa nchi yetu.
Post a Comment