WAKUU WA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII WAJADILI UBORESHAJI WA SERA, KANUNI



Profesa Mshiriki kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Willy Komba akitoaufafanuzi kwa  Wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii vilivyo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu Sera, Kanuni na Taratibu za Mitihani wakati wa kikao kazi cha wakuu hao leo mjini Dodoma.
Kaimu Katibu Mkuu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw.Erasimus Rugarabamu (katikati) akifuatilia michango mbalimbali ya uboreshaji wa Sera,Kanuni na Taratibu za Mitihani wakati kikao kazi cha wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii leo mjini Dodoma.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw. Enterberth Nyoni na Mwenyekiti wa Wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii Bw. Paschal Mahinyila.

Washiriki wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Vyuo vya maendeleo ya Jamii wakipitia nyaraka mbalimbali leo mjini Dodoma ikiwa ni sehemu ya uboreshaji wa viwango vya taaluma katika vyuo wanavyovisimamia. 

Picha na Aron Msigwa - MAELEZO





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU