WAZIRI MBARAWA ATEMBELEA VIWANJA VYA NDEGE JULIUS NYERERE

MBR1Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Maafisa Uhamiaji katika Kiwanja cha Ndege Cha Kimataifa Cha Julius Nyerere(Terminal II), alipotembelea kuangalia utendaji kazi na vifaa vya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamin Sawe- Maelezo)
MBR2Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akitoa malekezo wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi George Sambali (Katikati), alipotembelea Mamlaka hiyo. (Picha na Benjamin Sawe- Maelezo)
MBR3Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akitoa malekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi George Sambali (Katikati), alipotembelea Mamlaka hiyo. (Picha na Benjamin Sawe- Maelezo)
MBR4Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akitoa malekezo wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi George Sambali (Katikati), alipotembelea Mamlaka hiyo.  (Picha na Benjamin Sawe- Maelezo)
MBR6Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akizungumza na Mawakala wanaofanya kazi  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),alipotembelea kuona utendaji kazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA). (Picha na Benjamin Sawe- Maelezo)
MBR7Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Swissport, Gaudence Temu, wakati alipotembelea Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamin Sawe- Maelezo)
MBR8Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

WAZIRI SHONZA AMJIBU DIAMOND

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

HABARI MPASUKOOO!!! MCHAWI ADONDOKA AKIWA UCHI KIVULE,DAR