Waziri Nape afungua mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea zawadi ya maua mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam kufungua mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifurahi jambo pamoja na Rais wa Automobile Association of Tanzania Bw. Nizar Jivani(Kulia), Kaimu Katibu Mkuu Baraza la Michezo la Taifa(BMT) Bw. Mohamed Kiganja (wa tatu kulia) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akitambulishwa kwa baadhi ya madereva wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) na Rais wa Automobile Association of Tanzania Bw. Nizar Jivani (Kulia) mashindano hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akijadiliana jambo na Rais wa Automobile Association of Tanzania Bw. Nizar Jivani (Kulia) wakati alipowasili katika ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
<!--[if gte mso 9]>

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.