4x4

WENGI WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA ELIZABETH MAYENGA DAR
Msemaji wa Klabu ya Y anga, Jerry Muro (kulia) na Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ambao ni miongoni mwa waombolezaji wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kaimu Mhariri wa Michezo wa Gazeti la Majira, Elizabeth Mayemba, nyumbani kwa marehemu Tabata Kisukulu, Dar es Salaam

Kama kawaida yao wakikutana lazima wapigane vijembe.
Post a Comment