Baadhi ya Matukio yaliyojiri katika vituo mbalimbali vya Televisheni leo July 13, 2016
SIMU.tv: Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawatafuta watu wawili wanaodaiwa kuwa majambazi ambao walikuwa wakijiandaa kufanya uhalifu;https://youtu.be/7jmjB5INpHE
SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri apiga marufuku uingizaji wa bidhaa bandia mkoani humo;https://youtu.be/MDLLZzdVV2s
SIMU.tv: Jeshi la polisi mkoani Linidi lawataka wananchi wanaomiliki silaha kujitokeza kuhakiki silaha zao haraka kabla hawajachukuliwa hatua za kisheria; https://youtu.be/UTI0t6qewgc
SIMU.tv: Utafiti wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyangaza wilayani Sengerema unatazamiwa kutumia zaidi ya shilingi bilioni 30;https://youtu.be/_9vhvTf1WYA
SIMU.tv: Serikali imesema itaendelea kuchukua hatua dhidi ya ukiukaji wa taratibu na miongozo inayosimamia sekta ya uendelezaji milki nchini.https://youtu.be/6AeP3yr4dBE
SIMU.tv: Naibu waziri ofisi ya makamo wa rais muungano na mazingira mhe. Luhaga Mpina atoa mwezi 1 kwa NEMC kutoa taarifa ya kiwango cha vumbi kinachozalishwa na kiwanda cha Twiga Cement. https://youtu.be/TOfdH-hIqQ8
SIMU.tv: Kampuni ya Azam imeongeza mkataba mwingine wa kuonyesha moja kwa moja ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu ujao :https://youtu.be/itAa_JWRdac
SIMU.tv: Kocha mkuu wa timu ya Mtibwa Sugar amesema nidhamu ya wachezaji itawasaidia kufanya vizuri katika msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara: https://youtu.be/ezO2MubqIgE
Regards,
Felister Joseph.
Comments