YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 14, 2016

SIMU.tv: Fahamu  mengi kutoka jeshi la wananchi  Tanzania JWTZ wakikujuza kuhusu  mazoezi  ya kijeshi yanayolenga katika kujenga amani:https://youtu.be/5I-YhXmnReg

SIMU.tv: Serikali yafuta usajili wa magazeti 473 kwa kukiuka sheria ya viapo vya usajili wa magazeti nchini; https://youtu.be/hnjm6ooOkNM

SIMU.tv: Waziri wa Kilimo Mifugo  na Uvuvi  Mhe. Charles Kizeba aagiza kusimamishwa kazi kwa kaimu mkurugenzi idara ya usalama wa chakula kwa kosa la kutoa vibali vya kusafirisha chakula nje ya nchi. https://youtu.be/1fQN1iwbzpg

SIMU.tv: Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam linawashikilia watu wanne kwa kosa la kujihusisha na utoaji leseni za biashara katika manispaa ya Ilala;https://youtu.be/bsszzft1BWQ

SIMU.tv: Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi watembelea shule ya sekondari Lindi iliyoteketea kwa moto;https://youtu.be/kEr4cbO5HgM

SIMU.tv: Hatimaye serikali yatangaza eneo maalumu la ujenzi wa viwanda vya kuzalisha bidhaa zitakazouzwa nje ya nchi;https://youtu.be/bLU1q8ZeymE

SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongela amtaka mkandarasi anayejenga barabara ya Airport kukamilisha ujenzi huo haraka;https://youtu.be/2YvzDMgANbs

SIMU.tv: Serikali yasema muswada   wa sheria  ya huduma kwa  vyombo vya habari utaanza upya na kuwashirikisha wanahabari;https://youtu.be/amVnnau0s34

SIMU.tv: Serikali mkoani Mbeya yaingilia kati mgogoro ulioibuka biana ya wafanyakazi na mliki wa kiwanda cha Marumaru kwa kushindwa kuwalipa ujira wafanyakazi wake; https://youtu.be/r6WrBn39v7U

SIMU.tv: Rais John Magufuli awataka watanzania kuungana pamoja katika kutatua changamoto zinazoikabilin sekta ya elimu nchini; https://youtu.be/Yc43si4JWAY


Regards,
Felister Joseph.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA