4x4

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO July 15, 2016.

SIMU.tv: Serikali imeendelea kuwasisitiza na kuwataka watumishi wa umma kuwahudumia watanzania wote bila kujali tofauti za kidini, kikabila, kiitikadi na uwezo; https://youtu.be/TEZZ6IcRYm0

SIMU.tv: Serikali inatarajia kukamilisha mradi wa ujenzi wa umeme wa msongo wa Kilo volt 220 kutoka Makambako hadi Songea ifikapo mwezi Julai, 2017; https://youtu.be/DBNfgQdJP3c
SIMU.tv: Waziri mkuu ameagiza kuundwa kwa kamati za amani nchini huku akiyataka madhehebu ya dini kushirikiana ili kuendeleza amani nchini: https://youtu.be/gkVeclEMbmQ

SIMU.tv: Ujenzi wa barabara za ndani ni nyenzo muhimu zitakazowasaidia wananchi  katika harakati zao za kujiajiri kiuchumi:https://youtu.be/wkJmZKtXDO4

SIMU.tv: Hatimaye waziri mstaafu Frederick Sumaye  amechukua fomu ya kugombea nafasi ya uwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani:  https://youtu.be/4ZIB2KESrEw

SIMU.tv: Fahamu  mengi kutoka kwa wadau wa wizara ya afya wakikujuza kuhusu ufafanuzi wa taarifa za kukatwa kwa mishahara ya madaktari wanafunzi: https://youtu.be/6fcptfzhFJQ

SIMU.tv: Yajue mambo mengi kutoka kwa naibu meya wa manispaa ya Ilala akikufahamisha kuhusu tathmini ya utendaji katika kata ya  Vingunguti: https://youtu.be/bPcflcOTkMU

SIMU.tv: Vibalu vya JKT Ruvu na Ruvu Shooting vinaendelea na zoezi la kujiandaa na msimu ujao wa mashindano mbalimbali:https://youtu.be/Tw1yiaVZ05U

SIMU.tv: Naibu waziri wa michezo amewataka wachezaji wa timu ya taifa ya riadha iliyoko kambini  mkoani Kilimanjaro kuongeza juhudi ili waweze kushinda: https://youtu.be/LeTAJYDlNls

Regards,
Felister Joseph.


Post a Comment