Baadhi ya Matukio yaliyojiri katika vituo mbalimbali vya Televisheni leo July 24, 2016.
SIMU.tv: Mwenyekiti mpya wa CCM,Mhe.John Magufuli aahidi kupambana na rushwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi, https://youtu.be/s8BXT2Z-6c8
SIMU.tv: Shule ya msingi ya watoto wenye mahitaji maalum ya Mitindo iliyopo wilayani Misungwi inakabiliwa na uhaba wa magodoro, mashuka , chakula na mahitaji mengine muhumu;https://youtu.be/lb4rEp3k2eI
SIMU.tv: Rais John Magufuli ameibuka kidedea uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM kwa jumla ya kura 2398; https://youtu.be/bJecp3B0C9g
SIMU.tv: Inaelezwa kuwa kijiji cha Mnyagala kilicho katika halmashauri ya Mpanda mkoani Katavi kinakabiliwa na changamoto za upatikanaji wa huduma za afya; https://youtu.be/wpIDAMAWETo
SIMU.tv: Wakulima wa zao la Kakao katika halmashauri ya Kyela mkoani Mbeya watakiwa kuwatumiwa watalaam ili waweze kukuza uzalishaji; https://youtu.be/qFASsPHxf2g
SIMU.tv: Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ yaahidi kuwasaidia wakulima wa zao la Mwani kuwatafuta soko kwa lengo la kuwainua kiuchumi; https://youtu.be/9XVsZCBiDbo
SIMU.tv: Rais John Magufuli na mwenyekiti mpya wa CCM, Mhe.John Magufuli awataka watanzania kuendelea kudumisha amani na upendo nchini; https://youtu.be/HXz-zNvlJ04
SIMU.tv: Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Jakaya Kikwete awataka wanachama wa CCM kulipa ada ili kukuza wigo wa mapato ya chama; https://youtu.be/s_rNZvr7jtw
SIMU.tv: Fahamu kwa kina kuhusu umuhimu wa hati ya pamoja ya kusafiria kwa nchi za bara la Afrika kutoka kwa mwanadiplomasia, Dkt Kitojo; https://youtu.be/8Qht4ZYt4UQ
SIMU.tv: Wachezaji wa riadha wa jeshi la Tanzania wametakiwa kufanya vizuri katika mashindano ya majeshi katika nchi za Afrika yatakayofanyika nchini Rwanda: https://youtu.be/da2fkkZNpWA
SIMU.tv: Kocha wa timu wa Kagera Sugar amesema wapo katika maandalizi ya ligi kuu Tanzania bara ili kuiwezesha timu hiyo kufanya vizuri; https://youtu.be/zyccr3gT0cg
SIMU.tv: Wawakilishi pekee nchini katika mashindano ya kimataifa Yanga wameanza harakati za kuwakabili wapinzani wao Medeama katika michuano ya kombe la shirikisho:https://youtu.be/XvKNKcY2CR4
SIMU.tv: Fahamu mambo kadha wa kadha kutoka kwa muhifadhi wa mila na desturi kutoka katika makumbusho ya taifa akikujuza kuhusu mila na tamaduni za watanzania:https://youtu.be/dTGXweIVoAg
Regards,
Felister Joseph.
Comments