Baadhi ya Matukio yaliyojiri katika vituo mbalimbali vya Televisheni leo July 30, 2016.
Makamo wa rais wa shirikisho la soka nchini TFF amewaagiza waamuzi kutokuwa wachoyo wa elimu waliopata kwa wenzao wa madaraja ya kwanza; https://youtu.be/gqI1-XLGTDI
Mbunge wa mikumi Joseph Haule anatarajia kuzindua mashindano ya muziki wa kizazi kipya yakiwa na lengo la kupata muwakilishi katika mashindano ya dunia; https://youtu.be/W74k3eCtUlA
Mwanachama wa club ya Simba Mohamed Dewji amesema Simba haiitaji mfadhili bali inahitaji muwekezaji ili kuiwezesha timu hiyo kufika mbali; https://youtu.be/Cg7gC64wfgo
Fahamu mambo kadha wa kadha kutoka kwa mpiganaji Karama akikufahamisha kuhusu masuala ya mchezo wa ndondi;https://youtu.be/lcWi4emEc2M
Waziri wa mambo ya ndani Mhe. Mwigulu Nchemba awataka maafisa wa magereza kuwatumia wafungwa katika ujenzi wa magereza ikiwemo nyumba za watumishi wa magereza; https://youtu.be/1UVQoV_DoYE
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu awaongoza viongozi mbalimbali wa serikali kumjulia hali Spika wa bunge Job Ndugai;https://youtu.be/dfDFWUjo1lc
Wakala wa majengo ya serikali mkoani Arusha wameanza msako wa kuwatafuta wapangaji ambao ni wadaiwa sugu wanaoisababisha serikali kukosa mapato; https://youtu.be/lJbxg-TdDXA
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe. Ali Hapi amuagiza mkandarasi anayejenga barabara za kuingia kituo cha magari cha Makumbusho kukamilisha ujenzi huo haraka; https://youtu.be/DCWuz9EfmHE
Serikali yasema itazifutia usajili asasi zote zilizopo nchini zinazojihusisha na usambazaji wa vilainishi vinavyotumiwa na wapenzi wa jinsia moja; https://youtu.be/GSF9Ahxf--g
Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda awataka viongozi wa halimshauri zote mkoani Katavi kuwajali walimu;https://youtu.be/ygtv5tURySE
Jeshi la polisi kanda maalum jijini Dar es Salaam linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kujihusisha na wizi wa magari jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/jLThVxDwG4w
Rais John Magufuli awataka watanzania kuendelea kudumisha amani ya nchini ikiwemo kufanya kazi kuinua uchumi wa nchi;https://youtu.be/YKqVQhDALbQ
Regards,
Felister Joseph.
Comments