SIMU.tv: Rais John Magufuli awataka waumini wa dini wa kiislamu kuendelea kudumisha umoja na mshikamano katika kuendeleza amani nchini; https://youtu.be/8kkp2NpZXJU
SIMU.tv: Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki Mhe.Stanslaus Nyogo awata waislam wilayani humo kuwalea watoto katika maadili mema;https://youtu.be/CjEspXMKcOA
SIMU.tv: Chama cha waendesha pikipiki na Bajaji wilayani Liwale mkoani Lindi kwa kushirikiana na halmashauri wawasaidia vijana 37 katika kujikwamua na umasikini; https://youtu.be/b06p5UqTUAo
SIMU.tv: Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Temeke lamtia mbaroni mtu mmoja kwa kosa la kulihujumu shirika hilo;https://youtu.be/MjxXadbZZF0
SIMU.tv: Wamiliki wa Shisha jijini Dar es Salaam wasema wako tayari kutekeleza agizo la serikali la kusitisha biashara hiyo;https://youtu.be/CU7tE1hWlPY
SIMU.tv: Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Dodoma wahimizwa kutoa zaka na kulipa kodi ili kuiwezesha serikali kutoa huduma mbalimbali za kijamii; https://youtu.be/r1HLebR4rk8
SIMU.tv: Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Singida wawatakwa watanzania kudumisha umoja na mshikamano katika kuendeleza amani nchini; https://youtu.be/yTxKbbr_YIw
SIMU.tv: Naibu Waziri wa nishati na Madini Mhe. Dkt Medard Kalemani alitaka shirika la umeme nchini TANESCO kuhakikisha linawafata wateja ili kuongeza watumiaji; https://youtu.be/LDKOqSgUh3I
SIMU.tv: Inaelezwa kuwa kituo cha kulea watoto yatima cha Faraja kilichopo mkoani Iringa chateketea kwa moto; https://youtu.be/zgzlb_DRr0I
SIMU.tv: Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Mtwara washerekea sherehe ya Eid E- Fitri kwa kuchangia damu kwa hiari kwa lengo la kuwasaidia watu wenye tatizo la upungufu wa damu; https://youtu.be/6gK0N5UGWV4
SIMU.tv: Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein anatarajia kukimbia mbio za hisani katika kupinga ukatili wa watoto wa kike nchini; https://youtu.be/JzG2Tgr-6N8
SIMU.tv: Timu ya taifa ya Ureno yatinga fainali ya michuano ya EURO 2016 kwa kuitandika timu ya taifa Wales kwa jumla ya goli 2-0 ;https://youtu.be/XSFtPkKhjIw
SIMU.tv: Inaelezwa kuwa uhaba wa fedha waendelea kuitafuna Tanzania katika sekta ya michezo hususani katika michezo ya Masumbwi;https://youtu.be/4QWAo-of2-s
SIMU.tv: Fahamu mambo mengi ya msingi kutoka kwa naibu meya wa jiji la Dar Es Salaam akikufafanulia kuhusu tathmini ya utendaji :https://youtu.be/7z3olxUGVZ4
SIMU.tv: Jifunze mambo mengi kutoka kwa mbunge wa jimbo la Ilemela akielezea kwa undani kabisa kuhusu sekta ya elimu:https://youtu.be/FX9bjihRFtc
SIMU.tv: Yajue mambo mengi kutoka kwa Sheikh wa visiwani Zanzibar akifafanua kinagaubaga kabisa kuhusu sikukuu ya Eid El Fitri:https://youtu.be/ZUGDHTdXPDA
SIMU.tv: Waumini wa dini ya Kiislamu wahimizwa kuendelea kudumisha amani , utulivu na upendo kwa wananchi wa visiwani humo;https://youtu.be/DkLE4GSIb8Q
SIMU.tv: Rais wa Zanzibar Dkt.Shein awaambia wananchi visiwani humo hakuna serikali ya mpito itakayoundwa badala yake wasubiri uchaguzi mkuu wa mwaka 2020; https://youtu.be/-JAjBDbWb54
Regards,
Felister Joseph.
Comments