4x4

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha  Matambalale  katika jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Julai  15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
RUA01Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha  Matambalale  katika jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Julai  15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
RUA1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee wa kijiji  cha Chunyu  kabla ya kuwasalimia wananchi akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa, Julai 15, 2016.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
RUA2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee wa kijiji  cha Chunyu  kabla ya kuwasalimia wananchi akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa, Julai 15, 2016.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
RUA4Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaslimia wananchi wa kijiji cha Mihewe kabla ya kuzungumza nao akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa Julai 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
RUA5Mke wa Waziri Mkuu,Mary Majaliwa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Mihewe  akiwa ameambatana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kwenye ziara ya jimbo la Ruangwa Julai 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment