4x4

AJALI MBAYA YA BASI YATOKEA MAENEO YA BOMANG'OMBE


Ajali mbaya yatokea maeneo ya Bomangombe ikihusisha Basi la ROYAL EXPRESS linalofanya safari zake Rombo Mwanza, inasemekana watu 3 wamefariki Dunia.. M/mungu azilaze Roho za marehemu Peponi.. Amin

Post a Comment